Details
Description
JINA LA MRADI: Madrid Estate. MRADI ULIPO: Kigamboni - Dar es Salaam Zoo. UMBALI: Mita 800 kutoka barabara ya Kibada - Mwasonga. BEI: 15,000/= kwa mita ya mraba. MATUMIZI: Makazi, Biashara, Viwanda, Shule, Hospitali nk MALIPO YA AWALI: 10% - 20% ya bei yote ya kiwanja. MUDA WA MKOPO: Miezi 12 - 24. ARDHI NI MAENDELEO