Details
Description
viwanja viwili vinauzwa kwa pamoja, vina jumla ya sqm 1500 vina hati miliki moja, sehemu vilipo pamejengeka vizur sana, UMEME upo hakuna haja ya nguzo, vipo kiegea A , Unaingilia kwenye steshen ya mwendokasi au mizani ya zamani kihonda, bei milion 14, piga simu 0652644084 / 0767932265 AU FIKA OFISINI KWETU MASIKA 🌹SOKONI REAL ESTATE CO. LTD -inakupa kilichobora kabisa🌹