Details
Description
viwanja vilivyopimwa vinauzwa vipo makunganya, ni karibu na barabara kubwa ya lami, ni mita 500 kutoka lami ya dodoma vimepimwa na vina docoment zote, ni kuanzia sqm 700 yaani 20 kwa 35, bei ni kuanzia milion 3.5, sqm 1 ni shilingi elf 5 tu, pamejengenga vizuri barabara zinapitika hata kipindi cha mvua, umeme upo karibu,