24.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Viwanja vinauzwa vikawe baobab bagamoyo

TZS 8 000 000

Details

Price per square unit
yes

Description

VIWANJA VIKAWE(BAOBAB)BAGAMOYO: Viwanja vyote vimepimwa na vina hati miliki. Mazingira ni mazuri huduma zote za kijamii zinapatikana. Eneo linafikika kwa vipindi vyote vya hali ya hewa . Umbali ni 3km kutoka barabara kuu. Sqm1 = 15,000/= Viwanja vinapatikana kwa Tsh 8,000,000/= ruksa kuanza kulipia 50% kwa mda wa miezi 6. Kuona site ni bureee kwa siku yeyote utakayo hitaji. Kwa maelezo zaidi tembelea ofisi zetu zilizopo nyuma ya ubungo plaza. Call/WhatsApp #viwanjabagamoyo #viwanjatz #viwanjatanzania #tukajengepamoja #tukajenge

Mkumbi investors company ltd

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam