Details
Description
Viwanja vimepimwa na Hati utapata kutoka wizarani Malipo yetu ni kwa awamu mpaka miezi 12 Kwenda kuona site ni kila siku wasiliana nasi Huduma zote muhimu zimefika site ikiwa maji na umeme pia Viwanja vipo 3km kutoka barabara kuu pia vipo 23km kutoka ferry