Details
Description
Eneoa la Kisarawe II ni mojawapo ya maeneo yanayokuwa kwa haraka wilayani Kigamboni na jijini Dar es Salaam kwa ujimla Viwanja vipo Kisarawe 2, Kigamboni. Takribani kilometa 13 tu Kigamboni Ferry na Daraja la Nyerere.Vina ardhi nzuri yenye mandhari murua na ya kufaa kwa makazi. Barabara kuu ya Mwasonga ipo mita 900 kutoka eneo la viwanja na Kibada Centre ipo kilomita 4.5 tu. Viwanja vipo 84 vyenye ukubwa kati ya 200 sqm mpaka 350 sqm Maji na umeme vyote vipo karibu na eneo la mradi. Pia huduma za kijamii kama shule, hospitali, maduka na burudani vipo ndani ya kilomita 3 kutoka vilipo.