Details
Description
🏜KIBAHA MAILI MOJA🏜🏜 🚘🚘➡️KILOMETA 1 UMBALI KUTOKA BARABARA KUU MOROGORO ROAD MPAKA SITE . ❇❇➡️HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII KAMA MAJI, UMEME, BARABARA, SHULE, SOKO N.K 🏘🏘 VYOTE VINAPATIKANA PIA PAMEJENGEKA VIZURI. 💸💸➡️BEI KWA SQM 1 NI 20,000/= KWA MALIPO YA CASH NA INSTALLMENT 23,000/= 📏📏VIWANJA VIMEPIMWA KUANZIA SQM 400 AMBAYO NI 20 KWA 20 NA KUENDELEA 📋➡️BAADA YA MALIPO UTAPEWA HATI YAKO. 🚗➡️VISIT SITE NI SIKU YOYOTE NANI BURE . TUNAMIRADI MINGINE ILIYO BORA KABISA ⬇️⬇️ MADALE FLAMINGO