09.03.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Viwanja Vinauzwa Kibada, Kigamboni

TZS 12 500 000

Details

Price per square unit
no

Description

Viwanja kwa ajili ya makazi. Vpo Mizimbini, Kibada - Kigamboni, eneo lenye ardhi nzuri kwa ujenzi. Viwanja vipo umbali wa mita 350 tu kutoka barabara ya lami inayotoka Kibada Centre kuelekea Kigamboni Ferry na Daraja la Mwl Nyerere Jumla ya viwanja 16 vinapatikana vya ukubwa kuanzia 200 sqm mpaka 300 sqm. Umeme na maji vipo ndani ya mita Eneo lipo umbali wa kilomita 9 kutoka Ferry na kilomita 8 tu kutoka daraja la Mwl Nyerere. Huduma zote muhimu za kijamii kama shule, hospitali, kituo cha polisi, maduka, usafiri wa umma pamoja na burudani; zinapatikana ndani ya kilomita moja (1) tu kutoka vilipo viwanja hivi Bei kwa kila kiwanja ni Sh 12,500,000

Ahmed Sultan

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam