Details
Description
Mradi mpya wa viwanja Lugoba Chalinze ✅ Viwanja hivi vimepimwa na vinatolewa Hati miliki . huduma zote za jamii zinapatikana kwenye viwanja . viwanja vipo karibu na barabara ya lami Ni km 2 kutoka Msata Road ✅ Viwanja Hivi ni Vizuri vipo Tambarare vinafaa kwa makazi na biashara. ✅ Ukubwa SQM 1000 , bei kwa SQM 1 ni 3000 Tsh ✅ Malipo Ni kidogo kidogo kwa miezi 20. TUNAPATIKANA Kivulini Mlimani city