25.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Viwanja vinaizwa vipo kibaha, pwani

TZS 3 000 000

Details

Price per square unit
yes

Description

*NAUZA VIWANJA VIPO KIBAHA KWA MATIASI MTAA WA GARAGAZA* Viwanja vipo umbali wa kilometers 4 kutoka barabara ya morogoro road Bei ya viwanja vinaanza na million 3 Ukubwa wa viwanja ni sqm 20-20 na kuna ukubwa tofauti sqm 20-30 pia sqm 30-30 kuendelea bei zinatofautiana kulingana na ukubwa wa kiwanja Viwanja hivi ni vichache na huduma zote za kijamii zipo maji umeme hapohapo Umiliki wa viwanja hivi ni hati ya mauzi ya serikali ya mtaa husika *BS REAL ESTATE AND CONSULTANCY COMPANY* @Bs_real_estate_and_consultancy?? Karibu tulimalize

Bs Real Estate and Consultancy

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam