11.08.2022Morogoro

Viwanja vilivyopimwa mkund M

TZS 5 500 000

Description

TUNAUZA VIWANJA VILIVYOPIMWA KATIKA ENEO LA MKUNDI MOROGORO MJINI ENEO LA MKUNDI LIPO BARABARA YA KUELEKEA DODOMA VIWANJA VIPO MITA 900 KUTOKA BARABARA YA KWENDA DODOMA VIWANJA VIMEPIMWA NA VIPO KATIKA ENEO SALAMA LISILO NA MGOGORO. VIWANJA VIPO KARIBU NA HUDUMA YA JAMII UKUBWA WA VIWANJA NI KUANZIA SQUARE MITA 550 HADI SQUARE MITA915 TUNAUZA SQUARE MITA MOJA ELF KUMI.KWAHIYO UKINUNUA KIWANJA CHENYE UKUBWA WA SQUARE MITA 600 UTALIPA MILION SITA WASILIANA NA MWALIMU FRANCIS 0714444838

Mwalimu F. Y. M.

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Morogoro