Details
Description
SIFA ZA MRADI HUU 1.Barabara ni nzuri na panafikika kwa usafiri wowote 2.Ni Kilomita moja na nusu kutoka Lami 3.Pamejengeka na huduma zote zipo site 4.Una uhuru wa kulipa kidogo kidogo 5.Unaweza kufanya maendeleo kwenye kiwanja endapo umeshalipa 90% ya thamani ya kiwanja 6.Tunakupeleka Bure mpaka site kuona viwanja 7.Pia tuna miradi mingine mkoa wa Dodoma na Mwanza 8.Tembelea ofisi zetu Ubungo plaza (Katambe street) AU wasiliana nasi kwa simu +255620175964