Details
Description
⚫Huu ni Mradi mpya wa viwanja ⚫Bei ni ya chini yaani 2,500 kwa square meter moja ⚫ Viwanja hivi Vipo jirani na kinapojengwa chuo cha IFM Dodoma ⚫Viwanja Vipo umbali wa Kilometre 4 kutoka Singida road na Kilometres 15 toka Dodoma mjini ⚫Vinaanzia square meter 400(20 kwa 20) na kuendelea ⚫Viwanja vimepimwa tayari na utapata hati ⚫Malipo ni kidogo kidogo mpaka umalize ⚫Huduma zote za kijamii zipo site,maji,umeme, Barabara ⚫Tuna miradi mingine DODOMA maeneo ya Nala Chihonda, Ihumwa Elshaadai,