19.07.2022Dar es Salaam

VIWANJA MWANDEGE KILONGONI

TZS 1 500 000

Details

Terms
Monthly in advance

Description

WAHI VIWANJA BEI CHEE.. MWANDEGE KILONGONI ( kwa Chaula) SIFA ADHIM ZA VIWANJA. ✅1km kutoka kituoni (Mwandege Bombani). ✅3km kutoka barabara kuu ya vikindu ✅Umeme na maji yapo. ✅Huduma za kijamii zipo. ✅Kumejengeka tayari. ✅Viwanja vimepimwa kwa Skwata. ✅Mitaa imepangiliwa vizuri. ✅Havina udalali mali ya uhakika. ✅Kutembelea site siku yoyote ile. ✅Unapata hati ya serikali ya mtaa pamoja na ya mwanasheria. UKUBWA: Futi 50 kwa 40 BEI: 1,500,000 TU (fixed) Ruksa kulipa kidogo kidogo (Installment)

Ahmed

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam