Details
Description
Viwanja vinauzwa mtumba Dodoma kwa bei nafuu malipo yke utaanza na 40% nyingne unalipia kwa awam hadi miezi 6 huduma za kijamii zipo katibu na mradi wetu kunafikika kwa urahisi lakn pia kuna mpango mkakati wa serikali kuboresha barabara zote zinazokariana na mji wa serikali zilikojengwa ofisi za wizara zote. viwanja vimebaki vichache, karibuni Sana, kutembelea site ni kila siku.