Details
Description
VIWANJA MKUNDI SHELI viwanja vipo mkundi sheli karibu na hospitali kubwa, Vimepimwa kwa ukubwa tofauti tofauti,kuanzia sqm 470 hadi 1000 UMEME UPO NA HAKUNA HAJA YA NGUZO,, Ardhi tambarare,hakuna mafuriko, ardhi yake ni nzuri hata kipindi cha mvua kali, mradi wa maji upo karibu Sqm 1=10,000 Hivyo,Bei za viwanja zinaanzia milion 4.7 tu unapata kiwanja, Wasiliana nasi AU FIKA OFISI KWETU.