16.06.2024Dar es Salaam

Viwanja Makurunge Bagamoyo

TZS 2 750 000

Details

Terms
Monthly in advance

Description

Jipatie Viwanja Vilivyo pimwa Makurunge Bagamoyo Kwa kufanya malipo kidogo kidogo kwa miezi 15 ✅Viwanja Vipo Njia panda ya Hifadhi ya wanyama saadani , Viwanja vimepimwa vipo km 2 kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo. Huduma zote zimefika maji, umeme, barabara nzuli , shule na hospital zipo karibu na viwanja ✅bei kwa square meter 1 ni 5500 , Viwanja ukubwa ni SQM 500 .Hati miliki Utapatiwa Bure kabisa. ✅Malipo ni kwa muda wa miezi 15 Tu ✅Tupo Kivulini mlimani city ✅karibuni sana Tuwekeze

Emmanuel V.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam