Details
Description
jipatie viwanja vilivyo pimwa Makurunge bagamoyo đ„viwanja vipo km 2 kutoka barabara kuu ya lami đ„viwanja vipo kalibia na njia panda ya hifadhi ya saadani đ„viwanja vimepimwa , hati miliki unapatiwa bure đ„viwanja vinaanzia ukubwa wa square meter 500 đ„bei kwa square meter 1 ni 5500 đ„viwanja vipo kalibia na kiwanda cha sukari cha Bakhresa đ„Huduma zote zimefika đ„malipo utalipia kwa mwezi kwa miezi 12 đ„ukilipia cash punguzo asilimia 10% đ„Kila jumamosi ni siku za kuona viwanja