Description
NI OFA KABAMBE...NJOO UJIPATIE KIWANJA KWA BEI RAHISI SANA...HII INAITWA USHINDWE WEWE....♻️Jipatie viwanja bora na vyakisasa kabisa Viwanja vipo Vikindu - Vianzi ukubwa ni futi 50 kwa 40 ♻️Lipia nusu bei inayobaki utalipia kidogo kidogo mpaka unamaliza deni♻️Bei zetu ni nafuu sana Kuna vya milion 1Kuna vya laki 8Kuna vya laki 6Kuna vya laki 5Na pia kuna vya laki 4♻️Ukiwa watokea Posta,Temeke,Kigamboni,Posta, gari ni moja mpaka VIKINDU,ukifika vikindu mpaka kwenye viwanja kuna usafir wa bajaj nauli 500....♻️Ni Ofa ya muda mchache karibu utimize ndoto yako yakumiliki ardhi kwa bei nafuu♻️Viwanja vyote ukubwa ni sawa Futi 50 kwa 40 (Mita 15 kwa 12)