Details
Description
miliki kiwanja bagamoyo kiromo chenye ukubwa wa square meter 500 kwa kulipia malipo kidogo kidogo kila mwezi kwa miezi 15 💥viwanja vipo km 3 kutoka main road 💥Viwanja vimepimwa ,vina mawe ya wizara 💥hati miliki ya wizara unapatiwa bure 💥viwanja vipo na huduma zote za kijamii kama maji ,umeme, shule , barabara na hopitali 💥malipo unaweza fanya kila mwezi ya kiazi cha 266000 Tsh 💥Ukilipia cash unapata punguzo la 10% 💥ukitanguliza 30% punguzo 5% karibu uwekeze bagamoyo