07.06.2024Dar es Salaam

Viwanja Kingani Bagamoyo

TZS 12 500 000

Details

Terms
Monthly in advance

Description

mradi wa viwanja kingani Bagamoyo 🍀viwanja vipo Bagamoyo mjini 🍀vimepimwa na vina hati miliki 🍀bei kwa square meter 1 ni 25000 🍀UKUBWA vimekatwa square meter 500 (25 kwa 20) 🍀ukilipa kwa cash discount 10% 🍀kwa instalments ni miezi 15 bila Riba , Utaanza na 20% inayobaki utalipia ndani ya miezi 15 📍 ofisi zipo kivulini ,mbele ya mlimani city đŸ’„site kila jumamosi đŸ’„tupigie simu kwa maelekezo zaidi

Emmanuel V.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam