Details
Description
viwanja vya makazi kigamboni kijibweni umbali kutoka daraja la nyerere ni km2. vipo barabarani vipo jirani na mradi wa makazi ya nssf. viwanja vimepimwa na ni mradi wa kampuni bei ni Pamoja na hati Tsh 25,000,000 ukubwa wa viwanja unaanzia sq 400 0693410359