Details
Description
Viwanja vimepimwa na Tunakupa hati kwa jina lako Kwenda kuona Site nj kila siku wasiliana nasi Viwanja vipo opposite na Mikoko pia vinatizamana na Barabara ya kwenda Baharini Vipo 3km kutoka lami Malipo yetu ni Cash na kwa mkopo hadi miezi 12