Details
Description
viwanja vinauzwa kerege bagamoyo bei 6,500,000 ukubwa sqm 500 (25 kwa 20) umbali kutoka rami ni 3km huduma za kijamii zipo malipo kwa instalments miezi 15. site visit jumamosi , nauli elf 10 makutana kwenye ofisi zetu zilizopo kivulini mlimani city