Details
Description
⚫ Viwanja Vinauzwa Dodoma karibu na Msalato international airport. ⚫Pia viwanja vipo jirani na chuo cha usafirishaji NIT ⚫Wahi Kiwanja chako mapema,thamani inapanda ardhi haitengenezwi. ⚫ Viwanja hivi ni kwa ajili ya biashara na makazi. ⚫ Viwanja Vinaanzia SQM 600 na kuendelea. ⚫ Vimepimwa tayari na utapata hati yenye jina lako mwenyewe. ⚫ Viwanja vingine vipo maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Ihumwa Elshaadai, Iyumbu, Kitelela, Mahoma Makulu, Iyumbu, Ihumwa,Nala Lugala,Nala Chihoni, Chidachi.