18.06.2024Dar es Salaam

Viwanja chalinze Vya Makazi

TZS 1 500 000

Details

Terms
Monthly in advance

Description

Tuna Viwanja Vizuri Lugoba Chalinze Kwa Ajili Ya Makazi Na Kwa malipo Rahisi Kwa Muda Paka Miezi 20 ✅ Viwanja Vimezungukwa Na Huduma zote Za Kijamii Umeme umefika , Maji Yamefika , usalama wa Kutosha , soko na shule zipo . Viwanja Vipo Km 2 kutoka barabara ya lami Msata Road. ✅ bei kwa square moja ni 3000 , Ukubwa Viwanja Vimekatwa kuanzia SQM 500 nakuendelea. ✅ Hati Miliki ni bure kabisa Na utakabidhiwa kwa Wakati ✅ Site Visit Ni jumamosi saa 2 Asubui . ✅Tuwasiliane kwa huduma zaidi

Emmanuel V.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam