Details
Description
miliki kiwanja chalinze lugoba kwa kulipia kidogo kidogo kwa miezi 20 đžviwanja vimepimwa , hati miliki zipo đžukubwa sqm 500,600,700 nk đžsqm bei ni 3,000 Tu đžviwanja vinaanzia bei ya 1,350,000 ukubwa sqm 500 , malipo kidogo kidogo kwa miezi 20. Anza na elfu 75 Tu! đžviwanja vipo km 1.5 tu kutoka main road ya msata road đžhuduma zote muhimu zimefika site âïžsite visit itakuepo jumamosi hiii ,ofisi zetu zipo kivulini mlimani city âïž0659491608