02.06.2024Dar es Salaam

Viwanja chalinze Lugoba

TZS 75 000

Details

Terms
Monthly in advance

Description

🌻miliki kiwanja kiicho pimwa kwa kulipia kidogo kidogo kila mwezi kiasi 75000 kwa miezi 20 🌻viwanja vipo chalinze lugoba center 🌻viwanja vipo kilometre 3 kutoka Rami 🌻viwanja vina ukubwa wa SQM 500 (25 kwa 20) 🌻huduma zote za kijamii zipo karibu na mradi 💥HATI MILIKI UTAKABIDHIWA BURE 🌻kutembelea viwanja ni kila jumamosi saa 2 Asubui 🌻safari zinaanzia ofisini kwetu Sinza kivulini. 🌻Ardhi ni mtaji ,usipitwe na fursaa hii ya kumiliki kiwanja

Emmanuel

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam