Details
Description
Viwanja vyetu vimepimwa, vina mawe ya wizara na ukimaliza malipo unapata hati yako Viko njia panda ya saadani, ni 2km tu kutoka main road Barabara zimechongwa na zinapitika, huduma zote za kijamii ziko karibu yako Viwanja viko sehem moja tu panaitws makurunge