Details
Description
miliki viwanja Bagamoyo makulunge kwa kulipia kidogo kidogo kwa miezi 15 viwanja vinaanzia ukubwa wa square meter 500 viwanja vina miundominu yote muhimu viwanja vipo kilometre 2 kutoka barabara kuu viwanja vimepimwa ,hati miliki chini ya kampuni Bei kwa square moja ni 5500 Tsh ukifanya malipo kwa pamoja punguzo asilimia 10% siku za kutembelea viwanja ni kila jumamosi saa 2 asubui, safari zanaanzia ofisini kwetu sinza kivulini Tupigie simu tukupatie kiwanja chenye ubora đ„