Details
Description
SWAHILI #VIWANJA VINAUZWA KINYEREZI MWANZO MGUMU. ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ Viwanja viko: KINYEREZI MWANZO MGUMU. — Viwanja vimepakanana barabara ya lami ya kinyerezi mbezi. — Viwanja vimepimwa tayari na vina ukubwa mita za mraba 417+ — Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga/kuuza. — Huduma zote za kijamii zinapatikana karibu na viwanja. — Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa sana. — Bei: Tsh. 25,000,000/- — Hati miliki utajaza fomu za maombi baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja.