Description
KARIBU PROPERTY INVESTORS CO LTD Mradi mpya ni kinondoni madale mivumoni Ni mradi wenye viwanja vizuri vilivyopimwa kwa kufata taratibu zote za ardhi utapata na hati yako. Mradi ulio katika mazingira ya watu. Huduma zote zimefika maji,umeme na shule bora kwa wanao. Maeneo yote yanaanza kwa sqm 400 mpaka 600sqm. Sqm 1 = 35,000/= Mradi upo njiani ni kutoka barabara kuu. Kuhusu malipo kulipia yote au utaanzia 50% itakayobakia utalipia kwa mda wa miezi 6. Siku ya site ni mda wako mteja tupo available siku na mda wowote hakuna malipo yeyote kwenda kutembelea site. Kwa maelezo zaidi tembelea ofisi zetu zilizopo nyuma ya jengo la ubungo plaza Kwa mawasiliano zaidi: 0656033719/0684149324. #viwanjatz #viwandavidogovidogo #tukajenge #viwanjakinondoni