Details
Description
Viwanja vinamilikiwa na kampuni ya property investors company limited Viwanja Vimepimwa na Hati miliki ni baada ya Malipo ndani ya siku tisini Viwanja vipo nyuma ya Kiwanda cha Kamal steel Kilomita moja kutoka lami Malipo ni kwa awamu anza na asilimia hamsini, inayobaki unalipa kidogo kidogo mpaka unamaliza Hatuna gharama za kwenda Site ni Bure kila siku wasiliana nasi