Description
Wahi viwanja vimebaki vichache mno na vinachukuliwa kwa kasi sana viwanja vyetu vipo Vikindu vianzi bei inanzia laki tisa 9 kuendelea na Mbande mipeko bei vinanzia million mbili 2 ukubwa wa VIWANJA ni futi 50 kwa 40 inatosha kujenga nyumba kubwa na nafasi ikabaki huduma zote za kijamii zinapatikana kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948