Details
Description
Viwanja vya mradi vipo zaidi ya 10, Vipo Mapinga Bagamoyo umbali wa 2km kutoka bagamoyo road. Viwanja vipo vya ukubwa tofauti kuanzia 900 sqm ( 40 × 23 m ) na zaidi Huduma zote zipo jirani, Karibu - 0716442950 Unaweza kulipa kwa awamu