Details
Description
Hili ni ene ambalo lipo umbali wa kilomita 2.5 tu kutoka Barabara ya MOROGORO, KIBAHA-PANGANI, Na ni Kiwanja cha pili baada ya Lami. Kiwanja kimezunguushiwa Ukuta chote na kuna Geti kwaajili ya Usalama. Ukubw ni Mita zaNraba 1,500 Lonapangishwa kwa $2@sqm. Wastani wa Tshs.7.5 Milioni kwa Mwezi na unatakiwa Pesa ilipwe ya Mwaka mzima. ____ ANGALIZO; Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja. Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia. ____zw