Details
Description
Hapa ni MBEZI MSAKUZI. Eneo la KIBAO CHA NJANO. Ni jirani na Serikali ya Mtaa na wastani wa mita 100 kutoka Barabara ya Msakuzi/Mbezi. Hiki ni Kiwanja kizuri cha kwenye Kona. Ukubwa wake Mita za Mraba 750. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Eneo limejengeka vìzuri. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________jj Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.