Details
Description
Kiwanja kizuri cha kwenye Kona. Kipo umbali wa Mita 600 tu kutoka Barabara inayoelekea MSAKUZI mwisho. Ni jirani na KANISA LA KKKT-MSAKUZI au BETHEM PRIMARY SCHOOL. Ukubwa wa Kiwanja ni SQM. 500. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Kiwanja kina MSINGI WA NYUMBA YA VYUMBA 3. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________jj Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.