Details
Description
Viwanja vimepimwa na vipo karibu na barabara ya Bandarini malipo ni kidogo kidogo mpaka miezi 12 Kwenda kuona site ni kila siku wasiliana nasi Kwa mahitaji ya viwanja vingine maeneo ya Dodoma pia vipo Chwahwa, Nala, Mtumba, Kitelela , ihumwa na Chamwino ikulu