Details
Description
Hili ni Shamba ambalo limeendelezwa. Kuna: ●Mabanda ya Kufugia Ng'ombe. ●Mabanda ya kufugia Nguruwe. ●Visima viwili. ●Nishati ya Nguvu ya Jua (Solor Power) ●Mazao ikiwemo Migomba na Miembe. Ni umbali wa kilomita 13 tu kutoka Barabara ya Morogoro. _______ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _______mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.