Details
Description
SHAMBA LINAUZWA HEKA NANE NA NUSU ZIPO KWA UJUMLA ZINAZOUZWA NI HEKA 2 ZA MBELE AMBAZO ZIKO BARABARANI BEI NI 150M KWA HEKA MBILI ZA MBELE. NA UKITAKA KWA HEKA NANE NA NUSU ZOTE BEI NI 350M. SHAMBA LIPO MOROGORO SANGASANGA IRINGA ROAD KARIBU NA NJIA PANDA YA MZUMBE.