30.11.2021Tanzania, Pwani
Details
Description
Nauza shamba lenye ukubwa wa heka 30 zipo umbali wa kilometa 13 kutoka barabara kuu ya lami njia nzuri hadi shamba lilipo eneo la kulima nanasi,mahindi mtama, ufuta bamia mihogo,ndizi papaya na nk.
Chat with Maulusi
Call Maulusi