Details
Description
Shamba linauzwa mbwewe zipo heka 200 kila hekali moja inauzwa laki moja na sabin kutoka bala bala ya lami kuingia shamban kilometa 3 eneo nizuli kwa huduma zote muhimu kwa mawasiliano zaidi wah mapema eneo nizuli gali mpaka shambn njia safi chochote unapanda alizi safi sana