01.12.2021Tanzania, Pwani
Details
Description
Nauza shamba lipo kiwangwa bago lina ukubwa wa hekali 50 kila heka moja inauzwa laki 7 kutoka bala bala ya lami kuingia shambn kilometa 3 njia saf mpaka shambn wah mapema shamba liko tambalale nizuli sana
Chat with Kipara
Call Kipara