Details
Description
Shamba la nanasi la kuzaa mzimu huu linauzwa lipo kiwangwa zipo ekari 5 kila ekari moja inauzwa shilingib milioni 6 .5 zipo umbali wa kilometa 3.4 kutoka main load ya bagamoyo msata ni shamba zuri sana na lipo katika mazingira mazuri