Details
Description
Hili Shamba lipo MADABA Mkoa wa RUVUMA. Mita 300 tu kutoka Barabara ya NJOMBE/RUVUMA. Ni Shamba lenye Rutuba na linajumuisha sehemu Bonde ambalo ni mazingira mazuri kwa zao linalolimwa sasa la MPUNGA. Ndani ya Shamba kuna NYUMBA ya WAFANYAKAZI ya vyumba 3 Na pia kuna GHALA la kuhifadhi Mazao. Wahi kuwekezahapa ili kuupiga vita unmasking. Umiliki ni HATI YA KIMILA ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.300,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) ________zw