Details
Description
Linapatikana kiwangwa bagamoyo pwani.maeneo ya Rudiga kiembe Tala wanda.kwabei ya tsh milioni 4 kwakila hekali 1 umbali kutoka bala bala kuu ya Lami msata bagamoyo rodi kunaumbali wa km 12.mpaka shamba.nakutoka chalinze mjini kwenda Shamba kunaumbali wa km 13 na bala bala ya kwenda Shamba ipo Na kubwa na nzuli mpaka Shamba