08.03.2023Pwani
Details
Description
Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 300 lililopo kiwangwa bagamoyo pwani lipo umbali wa kilometa 9 kutoka barabara kuu ya lami ya bagamoyo msata kila ekari moja inauzwa shilingi laki mbili na hamsini
Chat with Adam j.
Call Adam j.