Details
Description
Tupo Kwa Ajili Yako Tunakusaidia Kutimiza Ndoto Zako Za Kumiliki Ardhii Kwa Malipo Nafuu Ya Kidogo kidogo Kwa Muda wa Miezi 15 🔸Bei Kwa Ekari moja ya shamba 1,500,000 🔸lipia kwa Miezi 15 , laki moja kila mwezi Kianzio pia ni laki moja 🔸 Mashamba yetu yamepimwa Tunatoa na hati miliki 🔸 Mashamba yapo umbali wa km 8 kutoka barabara kuu ya Msata Road Yapo Bagamoyo Kiwangwa ✅ utaratibu wa Kutembelea Mashamba ni siku ya jumamosi safari zinaanzia kivulini mlimani city muda saa 2 na nusu Asubuhi