Details
Description
Zinapatikana kiwangwa bagamoyo pwani kwabei ya tsh laki 5 Kwa kila hekali 1 Na umbali kutokea bala bala kuu ya lami msata bagamoyo rodi.kunaumbali wa km 6 Na bala bala yakwenda shambani IPO kama inavyo onekana.na Nzuli mpaka shambani